Saturday, July 5, 2014

MAISHA YA MT. PADRE PIO

Mt.Padre Pio alizaliwa  katika mji ulioko Italia ujulikanao Pietrelcian tarehe 25 May 1887 wazazi wake wakijulikana Giuseppa na Grazio Forgione licha yakuwa walikuwa masikini wa mali walikuwa  matajiri wa imani na upendo kwa Mungu.

Mt.Padre Pio alianza kuonekana kumpenda Mwenyezi Mungu akiwa na miaka mitano katika udogo wake alionekana kuwa na karama ya uponyaji na upendo mkuu kahusu mambo ya dini