Familia takatifu nini?
Famlia takatifu ni ile inayoishi katika misingi mizuri ya kumpendeza Mungu kwa maisha ya kila siku ambayo inakuwa na ushirikiano wa kazi za kila siku za kujipatia riziki ya kiroho na kimwili.
Misingi ya Familia Takatifu.
1.Upendo.2.Kuvumiliana.
3.Mshikamano na Uwazi kwa kila mwana familia