Familia takatifu nini?
Famlia takatifu ni ile inayoishi katika misingi mizuri ya kumpendeza Mungu kwa maisha ya kila siku ambayo inakuwa na ushirikiano wa kazi za kila siku za kujipatia riziki ya kiroho na kimwili.
Misingi ya Familia Takatifu.
1.Upendo.2.Kuvumiliana.
3.Mshikamano na Uwazi kwa kila mwana familia
Nakukalibisha katika kuchangia mawazo katika kipengele hiki cha familia takatifu hasa tunaposherekea mwaka wa familia tujiuliza sote wazazi,walezi,jumuiya ya mwanadamu na ulimwengu mzima tunajipa nafasi katika kutafakari mambo yapi yanafanya ulimwengu kuwa maali penye machafuko? au hatutafakali kuusu mambo yapi yanaweza kuifanya dunia iwe maali pazuri pa kuishi? Nitaendelea siku nyingine(I'll progress further day be attention)
ReplyDelete