Mtakatifu Theresa wa Avilla alizaliwa tarehe 28 Marchi,1515 katika mji huitwao Avila nchini Hispania(Ávila, Spain). Mt.Theresa wa Avila mda mwingine anajulikana kwa jina la Mt.Theresa wa Yesu.Jina lake asilia linajulikana kama Teresa de Cepeda y Ahumada.Mt.Thersa wa Avila alifariki tarehe 4/10/1582.
Mtakatifu Theresa wa Avila ni mwanzilishi wa shirika la Wakalumeli(
Carmelite).Mt.Theresa wa Avila alitunukiwa cheo cha udaktari wa Kanisa(doctor of the church) kwa kutangazwa na Papa Paulo wa Sita(Pope Paul VI) Mwaka 1970.Mama yake alifariki mwaka 1529.Licha ya upinzani aliokumbana nao kutoka kwa Baba yake alidumu na shirika hilo la Wakalumeli kwenye mwaka 1535 pale Avila. Mwaka 1562 kwa mamlaka ya Papa Pius wa nne(Pope Pius IV’s authorization) alianzisha upya coventi ya kwanza ya Wakalumeli(St. Joseph’s)
No comments:
Post a Comment