Imebeba sala na muongozo juu ya Ukatoliki katika kuutafuta utakatifu ila na mwanadamu yoyote apendezwaye na sala hizi naomba aungane kwenye jumuiya hii maana sote ni baba mmoja katika itikadi tofauti Amina
Thursday, July 27, 2017
MAISHA YA GOLIATI NA DAUDI KUPITIA VIDEO HII
Ndungu jifunze kitu kuhusu filamu hii maana yake inatufundisha kuwa
aliye mkubwa machoni pa wakubwa ni mdogo mbele za Mungu kama
awaangushavyo wenye kiburi na kuwakweza wanyenyekevu.
No comments:
Post a Comment