Wednesday, July 26, 2017

LIFE OF SAINT THERESE OF JESUS


Image result for life history of saint therese of the child jesus

                                           Maisha ya Mt.Theresa wa Mtoto Yesu.
 Mt.Theresa wa Mtoto Yesu.Alizaliwa tarehe 2,Januari 1873 huko Alençon, nchini Ufaransa.Alibatizwa tarehe 4 januari 1873.Mtakatifu Theresa wa Mtoto Yesu mama yake anaitwa Zelie Guerin ambaye alifariki tarehe 28,August 1877 na baba yake anaitwa Louis Martin ambaye alifariki tarehe  29,July 1894. Alianza safari yake ya masomo tarehe  2,October 1882.

Mtakatifu Theresa wa Mtoto Yesu alipata komunio ya kwanza tarehe 8, May 1884.Alifariki tarehe  30,September 1897 ambapo alifariki akiwa na umri wa miaka 24. Na alitangazwa kuwa ni Daktari wa Kanisa 1997 baada ya miaka 100 toka afariki kwa kutangazwa na Papa John Paul II.Mtakatifu Theresa wa Mtoto aliushi usafi wa moyo na kwa upendo kwa upendo mkubwa kwa Mungu na binadamu mpaka kufariki kwake. Kupitia sala zake miujiza kadhaa imetendeka.





No comments:

Post a Comment