Tuesday, April 29, 2014

HISTORY OF SAINT PRIMUS.

Saints Primus and Felician (Felicianus) (Italian: Primo e Feliciano) were brothers who suffered martyrdom about the year 297 during the Diocletian persecution. The "Martyrologium Hieronymianum" (ed. G. B. de Rossi-L. Duchesne, 77) gives under June 9 the names of Primus and Felician who were buried at the fourteenth milestone of the Via Nomentana (near Nomentum, now Mentana).
They were evidently from Nomentum. This notice comes from the catalogue of Roman martyrs of the fourth century.

Felicianusandprimus.jpg
INAFURAHISHA KABISA .
Yatupasa kujifunza kitu kutokana na Misa Takatifu iliyoazimishwa na Kiongozi mkuu Papa Francis I na Papa Mstaafu Benedict wa XVI.. Ndungu mwenzangu fatilia Maazimisho hayo katika video

Tuesday, April 22, 2014

LIFES OF SAINTS

HISTORY OF  SAINT PRAETEXTATUS(Prix)
Saint Prætextatus (died 25 February 586), also spelled Praetextatus, Pretextat(us), and known as Saint Prix, was the bishop of Rouen from 549 until his assassination in 586.
He was present at the councils of Paris (557), where marriages within certain degrees of consanguinity were declared incestuous, and at Tours (566). However, he is less remembered for his ecclesiastical involvement than for his political connections. He wed the lovers Merovech of Soissons, son of King Chilperic I of Neustria, and Brunhilda, widow of King Sigebert I of Austrasia, in order to prevent their affair from scandalising them, their families, and his city. This, however, led to his downfall. Merovech had risen against his father and Chilperic called the bishop to a council at Paris in the church of St Peter. There he was charged with high treason and with distributing gifts to enemies of the king to instigate revolt. His friend, the great Gregory of Tours, came to his defence, but eventually, persuaded by Chilperic's men, he pled guilty and confessed to joining the revolt because Merovech had been his godson. He was promptly banished to Jersey (577). Incidental to his exile was his responsibility for transferring ecclesiastical administration of the Channel Islands from the diocese of Dol to the diocese of Coutances, where it remained until the Reformation.
In 584, upon Chilperic's death, Guntram, king of Burgundy, assumed the regency for Chilperic's son, Clotaire II. Guntram returned Prætextatus to his old see. In 585, he was at the council of Mâcon, where he tried to reform the rules for clerical discipline which had served him so poorly. In 586, he was assassinated by order of Fredegund, the mother of Clotaire, whom, resident in Rouen, he had often reproved for her wicked conduct, including the murders of Sigebert, her brother-in-law: Chilperic, her husband; Clovis, her stepson; and Merovech, Prætextatus' godson. He died at his altar on 25 February and has been canonised by the Roman Catholic Church.

Image of St. Praetextatus (Prix)From Wikipedia, the free encyclopedia

Friday, April 18, 2014

TAFAKALI YA PASAKA



KWELI TUNASHIRIKI KUMTESA YESU?
Ebu tujiulize kuhusu upendo wa namna ya kupendeza jinsi Bwana Yesu anateseka kwa ajili yangu na wewe pia.
Tujiulize ni mara ngapi tunaendelea kuyafanya pengine ni kufuru na kumdharirisha ndani ya kanisa na nje ya kanisa kwa kumunyo za kumdhihaki ukosefu wa heshima kwenye nyumba ya Mungu tukijidanganya kuwa twaenda na wakati ambayo hayatofautiani na ya  Wayahudi waliomtesa.
Awali ya yote kwanza tufanye tafakari fupi katika siku za kuelekea ushindi wa Yesu.
i)JUMAPILI YA MATAWI.
Tunashangilia mkombozi kuingia Yerusalemu kama walivyofanya Wayaudi. Kama tushirikiavyo katika kupeperusha matawi tukiimba Hosana  Mwana wa Daudi. Lakini wakati tunafanya hivyo tujiulize tunafahamu maana ya kutumia rangi nyekundu? Tusaidiane kwa hilo ili kuyaelewa makuu hayo.
ii)ALAMISI KUU.
Tujiulize juu ya mapendo ya kumpendeza kukubali kutoa mwili na damu yake katika mafumbo ya mkate na divai ili lengo lake aishi nasi milele  daima.
Tujiulize hivi kweli tunayaheshimu matendo hayo hasa ya mkate na divai au hatujui nap engine inawezekana tunashiriki kumzihaki kwa namna tunavyompokea? Tukijifariji tunaendana na mabadiliko ya ulimwengu? Mfano kuogopa kuchafua mavazi yetu tukipiga magoti? Je tunaungana na Yule mwovu aliyetaka Yesu ampigie magoti?  Au hatutaki kuonesha ishara ya unyenyekevu kwake tukijidanganya ishara ya nje sio lazima?
Ushauri.
Tuulinde utukufu wake, hasa wakati wa kumpokea tusije tukajikuta tunajiandalia adhabu kali.Pia ni vyema tumpokee ulimini zaidi hii itutusaidia kumlinda mwokozi kudondoshwa chini hali inayopelekea kumkanyaga hiyo ni ishara ya kumdhihaki kama Wayahudi walivyofanya baadhi yao.
Je? Tujiulize ni mara ngapi tunampokea katika hali hiyo. Basi hii ni tafakari yangu je we wasemaje au waonaje njia sahihi?
iii)IJUMAA KUU.
Je? Tunajifunza nini hivi leo? Wakati dunia inaangaika kwa mateso mengi watoto wasiokuwa na hatia wanatolewa mimba, ukatili wa kijinsia, unyanyasaji kwa wanyonge na mengineyo. Hivi tunashiriki vyema katika kuyaepusha?
Hivi tena tujiulize tunapokatazwa kula nyama tunajifunza nini kuhusu tendo hilo? Basi tumwombe Bwana Yesu atufundishe maana yake ili tunapoikumbuka siku hiyo kuhusu kifo tupate Baraka zake kwa kwa kuyatafakari matendo hayo kwa usahihi.
iv)JUMAPILI YA PASAKA.
Ni shangwe kuu tunaposherekea ushindi wa Bwana Yesu na ukombozi wa mwanadamu.Je? tujiulize hivi tunafufuka naye kweli au tunajiona tunafufuka kimwili lakini tumekufa bado kiroho. Mtoto,kijana, mzee na kikongwe yatupasa kukaa chini na kuyatafakari makuu haya.
SALAMU ZA PASAKA.
Yesu alipoingia Yerusalemu Wayahudi walitandika nguo zao chini ili Yesu apite. Haohao walipaza sauti zao wakisema asulubiwe, acha kuchanganyikiwa tambua kuwa mwanadamu anabadilika, alisema anakupenda ipo siku atasema anakuchukia, aliyesema mtatenganishwa na kifo ipo siku atakupa talaka, aliyesema wewe ni mwema ipo siku atasema una roho mbaya, na Yule unampenda sana  atageuka kuwa adui mkubwa.
Je, Tusiwe na marafiki? Yesu alisema uwe mjanja kama nyoka na mpole kama ua, ishi kwa akili ukimkumbatia Yesu katika maisha ya kila siku naye atakufunulia yote upate mwanga wake. Sherekea Pasaka njema.

LIFE OF POPE JOHN XXIII VIA VIDEO



IMAGES OF HOLINESS POPE JOHN XXIII