Saturday, April 12, 2014

MAISHA YA PAPA JOHN PAULO II KUPITIA VIDEO

Ndungu wenzangu tuyatafakari maisha ya Baba Mtakatifu John Paulo wa pili Mwenye heri. Hasa tumuombe zaidi atuombee kwa Mwenyezi Mungu akiungana na Mama yetu Mama Bikira Maria tuzidi kuitumainia rozari takatifu cheni itufungayo kwa Mama Bikira Maria ili kujipatia neema mbalimbali za kimwili na kiroho hatimaye tuungane nao mbinguni baada ya maisha hapa duniani.Baba Mtakatifu John Paulo wa pili mwenye heri utuombee daima.


SEHEMU YA PILI

No comments:

Post a Comment