Thursday, May 1, 2014

ZAWADI YA KUPENDEZA



TUMSHUKURUJE? MTAKATIFU JOSEPH.
Hakika  ni jambo la kufurahi na kumshangilia Mt. Joseph alivyoweza kufanya kazi zake kama baba wa familia na taifa zima kama tujuavyo alivyomtunza  Mama Bikira Maria na Bwana Yesu  ambao ni mfano wa kuigwa  uliooneshwa ni fundisho tosha zaidi tukiwa katika majukumu yetu ya kila siku.
Hivi leo tujiulize ni kwa kiasi kipi tunaweza  kudhihirisha umuhimu wake katika kufanya kazi kwa kujituma  kwa Maendeleo yetu binafsi  na taifa kwa ujumla. Na hi indo itakuwa  njia bora ya kumshukuru na kumuenzi Mtakatifu huyu kwa tarehe  hii kama ijulikanavyo MEI MOSI. Basi tumukabidhi kazi zetu  ili kazi zetu ili kazi tuzifanyazo hatuelekeze njia bora ya kutimiza majukumu yetu na  hatimaye impendeze Mwenyezi Mungu kuondoa umasikini katika inchi za ulimwengu wa tatu  na hatimaye kuepuka kutegea wahisani wa nje maana ndo chanzo cha kutengeneza mazingira ya utendaji mbovu.
Barikiwa  katika siku hii tukisherekea  tukikumbuka  kufanya  kazi kwa bidii ni chanzo cha  kupigana dhidi ya maadui watatu ujinga, maradhi na umaskini. Ila kinachoweza kuleta chachu hii ni kupitia  kupeana moyo katika maeneo mbalimbali kama alivyoweza  kuonesha  njia  bora ya Mtakatifu huyu  katika kutekeleza majukumu hayo kwa ukamilifu wote.
Hongereni wewe unayefanya  kazi kwa bidii zote bila kuwanyonya wengine kulingana na cheo ulichonacho  maana hazima yako ni kubwa  unajiwekea na Yule ambaye hujaweza kuwa muungwana basi ni wakati muafaka kujirekebisha lengo kupanda basi moja la mafanikio ya maisha hapa duniani na hatimaye kupewa tuzo mbinguni.
 




First appearing in the gospels of Matthew and Luke, St. Joseph was the earthly father of Jesus Christ and the husband of the Virgin Mary.
Venerated as a saint in many Christian sects, St. Joseph is a biblical figure who is believed to have been the corporeal father of Jesus Christ. Joseph first appears in the Bible in the gospels of Matthew and Luke; in Matthew, Joseph's lineage is traced back to King David. According to the Bible, Joseph was born circa 100 B.C.E. and later wed the Virgin Mary, Jesus's mother. He died in Israel circa 1 A.D.


No comments:

Post a Comment