Friday, May 30, 2014

MAMA MTAZAME MWANAO NA MWANA MTAZAME MAMA YAKO


Mtegemee Mama Bikira Maria kwa kuungana naye katika kusali rozari yake cheni ituunganishayo kwa mwanae kila wakati maana kwa kuungana naye tunakuwa tumeungana na Mwokozi wetu kirahisi kwa kuwa atatuombea kama alivyofanya katika harusi ya Kana naye Yesu atasikia na kujibu haraka kuliko kwenda sisi moja kwa moja. Maana Yesu na Mama Bikira Maria awaachani daima.

To Our Blessed Mother - Prayers - Catholic Online

No comments:

Post a Comment