Friday, June 6, 2014

NAMUGONGO KUNANI?


Hakika ni jambo la kujivunia kupewa zawadi kama hii kwa kuwa walikubali kushiriki mateso ambayo inatupelekea na sikukuu kama hizi hakika tunawashukuru Watakatifu Mashaidi wa Uganda ni changamoto kwa siye binadamu tulioko hapa duniani katika zama hizi zenye changamoto nyingi ila nifundisho kubwa kwa binadamu.

No comments:

Post a Comment