Utatu Mtakatifu nini?
Utatu Mtakatifu ni ushirikiano wa Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Hivyo sasa hao wote wana nguvu sawa kama viungo vilivyovingi katika miili yetu kwa kufanya kazi kwa Pamoja. Kwa jinsi hii tuuheshimu utatu mtakatifu na tufahamu ya kwamba uwezi kusema nina Roho Mtakatifu basi au ninaishi na Mungu Mwana bila ya hao wengine hama uwezi kusema Mungu Baba yu upande wangu inatosha maana wote hawa wameshiriki katika harakati za uumbaji wa Mwanadamu
No comments:
Post a Comment