Tazama maajabu ya Mtakatifu Denis wa Uparis
Kadiri ya Maandiko inasemekana mtakatifu Denis ni mojawapo ya watakatifu wafia dini kwenye karne ya zamani na aliweza kuwa Askofu wa kwanza kwenye mji wa Paris kwenye uhai wake.Kwenye maandiko inasemekana kwenye kati ya mwaka 500 Mtakatifu Denis alitumwa Mjini Gaul akitokea Roma kama askofu mmisionari alipotumwa na Papa Clement
Hakika Mtakatifu Denis amefanya mambo mengi katika kubadilisha wapagani wengi katika maisha yake mpaka ilimpelekea kukatwa kichwa kama inavyoelekezewa Soma zaidi
story of saint denis | Les Studios de Paris
Saint Denis | bishop of Paris | Britannica.com
o
No comments:
Post a Comment