Mtakatifu Elizabeti wa Ureno anayejulikana pia kama Isabela Perez au Isabela wa Aragona alikuwa malkia wa nchi toka 1282-1325 hiyo kabla hajaanzisha jumuiya ya kitawa ya Utawa wa tatu wa Mt.Fransisko karibu na monasteri ya Waklara.
Alitangazwa na kuwa Mtakatifu na Papa Urban VIII tarehe 25 Mei 1625.Mtakatifu Elizabeth wa Ureno alizaliwa mwaka 1271 kwenye nyumba ya kifalme Aragona ambapo alikuwa binti wa Mfalme Peter III.Mtakatifu Elizabeti wa Ureno aliolewa na Mfalme Denis wa Ureno ambapo mipango ya kuolewa ulianza kupangwa mwaka 1281 alipokuwa na miaka kumi.Mwaka 1288 ndo harusi yake ilisherekewa akiwa na miaka 17 na Mfalme Denis akiwa na miaka 26.Mtakatifu Elizabeti wa Ureno alifariki July 1336
No comments:
Post a Comment