Tuesday, September 19, 2017

Sala Kwa Mtoto Yesu Wa Prague

 Image result for picha ya Mtoto Yesu Wa Prague
Ee Mtoto Yesu mwenye huruma, ninajua Miujiza yako kwa wagonjwa....... nionapo neema zako na uponyaji unaojalia watu.... kwa njia ya kuuheshimu Utoto wako Mtakatifu, na hasa picha yako ya Prague. Ninasema kwa uhakika mkuu: Ee Mtoto Yesu mpendevu sana, unaweza ukaniponya. Nyoosha mkono wako Mtakatifu na kwa  Nguvu Yako uniondolee maumivu yote na Udhaifu.
                                        Amina.

No comments:

Post a Comment