Wednesday, August 16, 2017

CHANZO CHA UENEZWAJI WA MAPADRI WA KWANZA TANZANIA

Karibuni tuungane katika kutafakari na kujionea Mbegu iliyopandwa hapa Tanzania.Pia tuseme Asante Mungu kwa Mbegu hii na ili idumu lazima tuwaombee Mapadri wetu na pia kuwa familia bora ambazo zitaweza kuzalisha mbegu zaidi ambazo zitakuwa chachu na asili ya kumtukuza Mungu na kuifanya dunia kuwa mahali pema pa kuishi.

Pili tunapotafakari haya maadhimisho ya Mababa wetu wa Kiroho ni vyema kujitafakari zaidi pande zote walei na mababa wetu wa kiroho na kurudi katika misingi iliyopandwa tangu Mwanzo wa Ukatoliki wetu na kuachana na dhana ya twende na wakati bali kwenda na maagizo yaliyoachwa na Bwana Yesu.

UZINDUZI WA JUBILEI YA MAPADRI WA KWANZA TANZANIA NA ...

JUBILEI YA MIAKA 100 YA MAPADRE WA KWANZA WAZALENDO ...

 

No comments:

Post a Comment