Mtakatifu Cesilia alikuwa mwanamke Mkristo wa mjini Roma kwenye Karne ya 2 na 3 BK.Mtakatifu Cecilia anajulikana na kuheshika kama mtakatifu Bikira mfiadini na somo wa wanamziki kwa sababu sababu inasimuliwa kwamba hao walipokuwa wakiimba kwenye arus yake , mwenyewe "alikuwa akimuimbia Bwana moyoni" Sikukuu ya Mtakatifu Cecilia inaazimishwa kila mwaka tarehe 22 November
For reading more click here:
No comments:
Post a Comment