Mtakatifu Laurenti wa Brindisi ni jina la kitawa la
Giulio Cesare Russo.Mtakatifu Laurenti wa Brindisi alizaliwa tarehe 22 Julai,1559 Brindisi nchini Italia.Mtakatifu Laurent Wa Brindisi baada ya kufiwa na baba yake utotoni, alipokuwa na miaka 7 tu, mama yake alimtuma aishi utawani, hivyo alisoma kwenye shule ya Wafransikano Wakoventuali huko huko Brindisi, akavaa kanzu yao tangu mwaka 1565 hadi 1567 kama maandalizi ya kujiunga nao.
Kuanzia hapo alivutiwa sana na karama ya Fransisko wa Asis, hata akavaa kanzu yao kuanzia mwaka 1565 hadi 1567 kama maandalizi ya kujiunga nao. Wakati huo ndipo alipoanza kuhubiri, kadiri ya desturi yao.
Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius VI mwaka 1783,Na kutangazwa mtakatifu na Papa Leo XIII mwaka 1881, hatimaye Mwalimu wa kanisa na Papa Yohane XXIII mwaka 1959.
For reading more:
No comments:
Post a Comment