Mtakatifu Visenti wa Paulo alizaliwa tarehe 24 Aprili 1581 huko Pouy Gascony na kufariki tarehe 27 Septemba 1660 huko Paris nchini Ufaransa.Mtakatifu Visent wa Paulo inafahamika kuwa alikuwa padri wa Kanisa la Kikatoliki.
Mtakatifu Visenti wa Paulo ni maarufu hasa kwa huruma yake kwa maskini na inajulikana kuwa ndo mwanzilishi wa mashirika mawili ya kitawa.Mtakatifu Visenti wa Paulo alitangazwa kuwa mwenyeheri na Papa Benedikto XIII tarehe 13 Agosti 1729 na baadae Papa Klement XII alimtangaza kuwa mtakatifu tarehe 16 June 1737.
Tarehe 27 Septemba ni siku ambayo tunamkumbuka Mtakatifu Visenti wa Paulo
Novena to St. Vincent de Paul
novena to st. vincent de paul - famvin
No comments:
Post a Comment