Imebeba sala na muongozo juu ya Ukatoliki katika kuutafuta utakatifu ila na mwanadamu yoyote apendezwaye na sala hizi naomba aungane kwenye jumuiya hii maana sote ni baba mmoja katika itikadi tofauti Amina
Monday, August 7, 2017
Maisha ya Mtakatifu Rita wa Kasia(Life of Saint Rita of Cascia)
Mtakatifu Rita wa Cascia alikuwa mjane wa Italia ambapo jina la awali aliitwa Margherita Lotti,Roccaporena,Perugia,Umbria,1381 huu ndo mwaka aliozaliwa-Cascia,Perugia 22 Mei 1457.Mtakatifu Rita wa Cascia alijiunga na shirika la Wamonaki Waaugustino baada ya kufiwa na mme wake na watoto.Huko aliishi kwa kujulikana kwa ukali wa malipizi yake na kwa ufanisi wa sala zake.
Mtakatifu Rita wa Cascia alitangazwa kuwa mtakatifu na Papa Urban VIII tarehe 24 Mei 1900 kwa jina la "Mtakatifu wa mambo yasiyowezekana". Awali alianza kutangazwa kuwa mwenyeheri mwaka 1626.Na sikukuu yake uadhimishwa Mei 22 kila mwaka.
No comments:
Post a Comment