Mtakatifu Rose wa Lima alikuwa Mlei wa tatu wa Mtakatifu Dominiko na ni Bikira.Alitangazwa kuwa mwenyeheri na Papa Klementi IX Tarehe 10 Mei 1667 na baadae kutangazwa Mtakatifu tarehe 12 April 1671 na Papa Klement IX.
Imebeba sala na muongozo juu ya Ukatoliki katika kuutafuta utakatifu ila na mwanadamu yoyote apendezwaye na sala hizi naomba aungane kwenye jumuiya hii maana sote ni baba mmoja katika itikadi tofauti Amina
Wednesday, August 9, 2017
Maisha ya Mtkatifu Rose wa Lima(Life of Saint Rose of Lima)
Mtakatifu Rose wa Lima alizaliwa tarehe 20 April, 1586 na alifariki tarehe 24 Augost 1617.Mtakatifu Rose wa Lima alikuwa binti wa Kihispania ambapo waliamia Lima,Peru.Mtakatifu Rose wa Lima alipata umaarufu kutokana na juhudi zake za maisha ya kiroho na kwa huduma zake za huruma kwa watu maskini wa mji wake huo.
Mtakatifu Rose wa Lima alikuwa Mlei wa tatu wa Mtakatifu Dominiko na ni Bikira.Alitangazwa kuwa mwenyeheri na Papa Klementi IX Tarehe 10 Mei 1667 na baadae kutangazwa Mtakatifu tarehe 12 April 1671 na Papa Klement IX.
Mtakatifu Rose wa Lima alikuwa Mlei wa tatu wa Mtakatifu Dominiko na ni Bikira.Alitangazwa kuwa mwenyeheri na Papa Klementi IX Tarehe 10 Mei 1667 na baadae kutangazwa Mtakatifu tarehe 12 April 1671 na Papa Klement IX.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment