Mtakatifu Stefano wa Hungaria kabla ya kubatizwa alikuwa anaitwa Vajk na inaonesha kuzaliwa kwake 969 au 975 na kufariki 1038 na siku yake inakumbukwa kila tarehe 16 Augost.Mtakatifu Stefano wa Hungaria alikuwa Mtawala mkuu wa Wahungaria mwaka 997 hadi 1000 na ndo aliyekuwa mtawala wa kwanza wa Hugaria toka 1000 hadi 1038 akiwa kama mfalme.
Mtakatifu Stefano wa Hungaria alijitaidi kueneza sana kueneza ufalme wake sambamba na Ukatoliki.Alitangazwa na kuwa mtakatifu na Papa Gregori VII pamoja na mwanae Emeriko wa Hungari na Gerado Sagredo tarehe 20 Agost 1083.
For more reading:
No comments:
Post a Comment