Tuesday, November 14, 2017

Maisha ya Mtakatifu Hedwiga

Mtakatifu Hedwiga, alizaliwa mwaka 1174, huko Andechs, Bavaria Ujerumani.
Akiwa na miaka 12, aliolewa na Henry, wa Silesia, ambaye alikuwa mkuu wa familia ya kifalme ya Poland.
Katika ndoa yake, alipata watoto 7, na ndoa yake ilikuwa ya furaha.Henry alisaidia kuanzisha convent ya masista huko Trebnitz , akajenga hospitali na Manosteri.
Henry , alikufa mwaka 1238. Mtakatifu Hedwiga akaenda kuishi Trebnitz kama mtawa.
Mtakatifu Hedwiga, alikufa mwaka1243 October 15 na akatangazwa mtakatifu 1266.
*Mtakatifu Margarita Alakok*
Mtakatifu Margarita Alakok alizaliwa tarehe 22 Julai 1647, huko L' Hautecour, Burgundy Ufaransa.
Baba yake alikufa yeye akiwa na miaka 8, na akapelekwa kusoma huko Charolles. Aliugua kwa miaka 7 mfululizo .Alikataa kuolewa na mwaka 1671, alijiunga na convent ya Paray le Monial.
Mwezi December 1673 , tarehe 27, alianza kupata maono mbalimbali kutoka kwa Bwana Yesu.
Mtakatifu Margarita, alipitia ngazi mbalimbali za uongozi wa convert na tarehe 17 mwezi October mwaka 1690.
Mtakatifu Margarita Alakok , alitangazwa mwenye heri mwaka 1864, September 18 na Papa Pius IX na akatangazwa kuwa mtakatifu mwaka 1920 May 13 na Papa Benedict XV
*Watakatifu wengine wa leo ni*
Mt. Gerard Majella
Mt. Ambrose
Mt. Anastasius XX
Mt. Balderic
Mt. Baldwin
Mt. Bercharius
Mt. Bertrand wa Comminges
Mt. Colman wa Kilroot
Mt. Conogon
Mt. Dulcidius
Mt. Eliphius
Mt. Eremberta
Mt. Florentinus wa Trier
Mt. Junian
Mt. Kiara
Mt. Lull
Mt. Magnobodus
Mt. Maxima
Mt. Mummolinus
Mt. Saturninus na wenzake
Mt. Vitalis

No comments:

Post a Comment