Mtakatifu John Eudes, alizaliwa huko Ri,Normandy, Ufaransa mwaka 1601 November 14.Alijiunga na chuo cha wa Jesuit kilichokuwa Caen .Kinyume cha matarajio ya wazazi wake,ya kuoa, alijiunga na shirika la mapadri la Oratory mwaka 1623.Akasoma katika miji ya Paris na Aubervilliers, na mwaka 1625, akapata daraja la upadri.
Akafanya kazi kujitolea kusaidia waathirika wa mlipuko wa magonjwa yaliyotokea Ufaransa kati ya mwaka 1625-1631.Baada ya hapo, akashiriki katika kazi za kujenga makanisa,kuhubiri na kuungamisha .Akawa na shauku ya kusaidia wanawake walioanguka kiimani.
Mwaka 1641, akashirikiana na Madeleine Lamy, walianzisha nyumba kwa ajiri ya wanawake wa Caen. Mwaka 1643 alitoka katika Oratorians na kuanzisha shirika la Yesu na Maria (Eudists) hapo Caen.Lakini alipata mapingamizi yaliyosababisha asipate kibali toka kwa Papa.
Mwaka 1650, mtakatifu John Eudes, alipata mwaliko toka kwa Askofu wa Coutances, kuanzisha seminari katika jimbo hilo. Akaanzisha seminari katika Lisieux mwaka 1653 na Rouen mwaka 1659.Na pia katika miji ya Evreux mwaka 1666 na Rennes mwaka 1670.
Mtakatifu John Eudes, akashirikiana na mtakatifu Mary Margaret Alacoque heshima ya moyo mtakatifu wa Yesu, akaanza misa za moyo mtakatifu wa Yesu mwaka 1668 na moyo safi wa mama Maria.
Mtakatifu John Eudes alikufa mwaka 1680 August 19 huko Caen, Normandy (Ufaransa ).
Akatangazwa mwenye heri mwaka 1909 April 25 na Papa Pius X, na akatangazwa mtakatifu mwaka 1925 May 31 na Papa Pius XI.

*Watakatifu wengine wa leo ni*
Mt. Andrew
M/h. Anthony
Mt. Badulfus
M/h. Bartholomew Monfiore
Mt. Bertulf wa Bobbio
Mt. Calminius
Mt. Credan
Mt. Donatus
Mt. Elaphius
M/h. Emily Bicchieri
Mt. Ezequiel Moreno y Diaz
Mt. Guenninus
M/h. James Denshi
M/h. Joachim Firayama Diz
M/h. John Foyamon
M/h. John Nangata
Mt. John Yano
Mt. Julius
M/h. Lawrence Rokuyemon
M/h. Leo Suchiemon
M/h. Louis Flores
Mt. Louis wa Toulouse
Mt. Magnus wa Avignon
Mt. Marianus
Mt. Marinus
M/h. Michael Diaz
Mt. Mochta
Mt. Namadia
M/h. Paul Sanchiki
M/h. Peter Zuniga
Mt. Rufinus
Mt. Sebald
M/h. Thomas Koyanangi
Wt. Timothy, Thecla, na Agapius
M/h. Anthony
Mt. Badulfus
M/h. Bartholomew Monfiore
Mt. Bertulf wa Bobbio
Mt. Calminius
Mt. Credan
Mt. Donatus
Mt. Elaphius
M/h. Emily Bicchieri
Mt. Ezequiel Moreno y Diaz
Mt. Guenninus
M/h. James Denshi
M/h. Joachim Firayama Diz
M/h. John Foyamon
M/h. John Nangata
Mt. John Yano
Mt. Julius
M/h. Lawrence Rokuyemon
M/h. Leo Suchiemon
M/h. Louis Flores
Mt. Louis wa Toulouse
Mt. Magnus wa Avignon
Mt. Marianus
Mt. Marinus
M/h. Michael Diaz
Mt. Mochta
Mt. Namadia
M/h. Paul Sanchiki
M/h. Peter Zuniga
Mt. Rufinus
Mt. Sebald
M/h. Thomas Koyanangi
Wt. Timothy, Thecla, na Agapius
No comments:
Post a Comment