Hakika hii siku ni kubwa duniani na mbinguni kwa kuwa hasa binadamu tulioko duniani tunawategemea sana hawa watakatifu na pia kila mmojawetu tunakuwa tunasherekea kwa pamoja.
Ongera sana mnaoshiriki katika sikukuu hii.WATAKATIFU SOMO ZETU MTUOMBEE
Sala kwa Wajina wangu..........
Wajina mpenzi Mtakatifu...................
ukiwa duniani ulimtumikia Mungu kwa unyofu na imani thabiti.Huko mbinguni leo unafurahia kuuona uso wake mtukufu.
Ulistahimili magumu hadi saa ya mwisho na sasa umetuzwa taji la uzima wa milele. Wajina wangu nakusihi, kumbuka ni hatari ngapi zinazonizunguka pamoja na kuchanganyikiwa na kuteswa. Uniombee kwa Mwenyezi Mungu katika shida na dhiki zangu hasa............
AMINA
No comments:
Post a Comment