Thursday, November 2, 2017

Sala kwa Wajina(somo)Watakatifu

Wajina mpenzi Mtakatifu...................
ukiwa duniani ulimtumikia Mungu kwa unyofu na imani thabiti.Huko mbinguni leo unafurahia kuuona uso wake mtukufu.

Ulistahimili magumu hadi saa ya mwisho na sasa umetuzwa taji la uzima wa milele. Wajina wangu nakusihi, kumbuka ni hatari ngapi zinazonizunguka pamoja na kuchanganyikiwa  na kuteswa. Uniombee kwa Mwenyezi Mungu katika shida na dhiki zangu hasa............
AMINA

1 comment: